Marko 1:40 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC40 Akaja kwake mtu mwenye ukoma, akamsihi na kumpigia magoti, na kumwambia, Ukitaka, waweza kunitakasa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema40 Mtu mmoja mwenye ukoma alimwendea Yesu, akapiga magoti, akamwomba: “Ukitaka, waweza kunitakasa!” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND40 Mtu mmoja mwenye ukoma alimwendea Yesu, akapiga magoti, akamwomba: “Ukitaka, waweza kunitakasa!” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza40 Mtu mmoja mwenye ukoma alimwendea Yesu, akapiga magoti, akamwomba: “Ukitaka, waweza kunitakasa!” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu40 Mtu mmoja mwenye ukoma alimjia Isa, akapiga magoti, akimwomba, “Ukitaka, unaweza kunitakasa.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu40 Mtu mmoja mwenye ukoma alimjia Isa, akamwomba akipiga magoti, akamwambia, “Ukitaka, waweza kunitakasa.” Tazama sura |