Maombolezo 5:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC18 Kwa ajili ya mlima Sayuni ulio ukiwa, Mbweha hutembea juu yake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Maana mlima Siyoni umeachwa tupu, mbweha wanazurura humo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Maana mlima Siyoni umeachwa tupu, mbweha wanazurura humo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Maana mlima Siyoni umeachwa tupu, mbweha wanazurura humo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 kwa sababu Mlima Sayuni umekaa ukiwa, na mbweha wanatembea juu yake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 kwa ajili ya Mlima Sayuni, ambao unakaa ukiwa, nao mbweha wanatembea juu yake. Tazama sura |