Maombolezo 3:66 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC66 Utawafuatia kwa hasira, na kuwaangamiza Wasiwe tena chini ya mbingu za BWANA. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema66 Uwafuatie kwa hasira, uwaangamize, uwafanye watoweke ulimwenguni.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND66 Uwafuatie kwa hasira, uwaangamize, uwafanye watoweke ulimwenguni.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza66 Uwafuatie kwa hasira, uwaangamize, uwafanye watoweke ulimwenguni.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu66 Wafuatilie katika hasira na uwaangamize chini ya mbingu za Mwenyezi Mungu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu66 Wafuatilie katika hasira na uwaangamize kutoka chini ya mbingu za bwana. Tazama sura |