Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Maombolezo 3:55 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

55 Nililiitia jina lako, BWANA, kutoka lile shimo Liendalo chini kabisa.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

55 “Kutoka chini shimoni nilikulilia ee Mwenyezi-Mungu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

55 “Kutoka chini shimoni nilikulilia ee Mwenyezi-Mungu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

55 “Kutoka chini shimoni nilikulilia ee Mwenyezi-Mungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

55 Nililiitia jina lako, Ee Mwenyezi Mungu, kutoka vina vya shimo.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

55 Nililiitia jina lako, Ee bwana, kutoka vina vya shimo.

Tazama sura Nakili




Maombolezo 3:55
11 Marejeleo ya Msalaba  

Mimi umenilaza chini katika shimo, Katika mahali penye giza vilindini.


Basi wakamtwaa Yeremia, wakamtupa katika shimo la Malkiya, mwana wa mfalme, lililo katika ukumbi wa walinzi; wakamshusha kwa kamba. Na mle shimoni hamkuwa na maji, ila matope tu; naye Yeremia akazama katika matope hayo.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo