Maombolezo 3:39 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC39 Mbona anung'unika mwanadamu aliye hai Mtu akiadhibiwa kwa dhambi zake? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema39 Kwa nini mtu anung'unike, ikiwa ameadhibiwa kwa dhambi zake? Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND39 Kwa nini mtu anung'unike, ikiwa ameadhibiwa kwa dhambi zake? Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza39 Kwa nini mtu anung'unike, ikiwa ameadhibiwa kwa dhambi zake? Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu39 Je, mwanadamu yeyote aliye hai aweza kulalamika wakati anapoadhibiwa kwa ajili ya dhambi zake? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu39 Mwanadamu yeyote aliye hai aweza kulalamika wakati anapoadhibiwa kwa ajili ya dhambi zake? Tazama sura |
Lakini Elisha alikuwa akikaa nyumbani mwake, na wazee wakikaa pamoja naye; na mfalme akamtuma mtu wa mbele yake; lakini hata kabla ya kufika kwake yule aliyetumwa, akawaambia wazee, Je! Mwaona jinsi huyu mwana wa mwuaji alivyotuma aniondolee kichwa changu? Angalieni, huyo aliyetumwa akifika, fungeni mlango, mkamzuie mlangoni; je! Sauti ya miguu ya bwana wake haiko nyuma yake?