Maombolezo 3:27 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC27 Ni vema mwanadamu aichukue nira Wakati wa ujana wake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema27 Ni vema mtu kujifunza uvumilivu tangu wakati wa ujana wake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND27 Ni vema mtu kujifunza uvumilivu tangu wakati wa ujana wake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza27 Ni vema mtu kujifunza uvumilivu tangu wakati wa ujana wake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu27 Ni vyema mtu kuchukua nira bado angali kijana. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu27 Ni vyema mtu kuchukua nira bado angali kijana. Tazama sura |