Maombolezo 3:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC19 Kumbuka mateso yangu, na msiba wangu, Pakanga na nyongo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 Kukumbuka taabu na kutangatanga kwangu kwanipa uchungu kama wa nyongo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 Kukumbuka taabu na kutangatanga kwangu kwanipa uchungu kama wa nyongo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 Kukumbuka taabu na kutangatanga kwangu kwanipa uchungu kama wa nyongo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 Nayakumbuka mateso yangu na kutangatanga kwangu, uchungu na nyongo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 Nayakumbuka mateso yangu na kutangatanga kwangu, uchungu na nyongo. Tazama sura |