Maombolezo 2:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC16 Juu yako adui zako wote Wamepanua vinywa vyao; Huzomea, husaga meno yao, Husema, Tumemmeza; Hakika siku hii ndiyo tuliyoitazamia; Tumeipata, tumeiona. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Maadui zako wote wanakuzomea, wanakufyonya na kukusagia meno, huku wakisema, “Tumemwangamiza! Kweli, siku ile tuliyoingojea kwa hamu sasa imefika na tumeiona!” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Maadui zako wote wanakuzomea, wanakufyonya na kukusagia meno, huku wakisema, “Tumemwangamiza! Kweli, siku ile tuliyoingojea kwa hamu sasa imefika na tumeiona!” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Maadui zako wote wanakuzomea, wanakufyonya na kukusagia meno, huku wakisema, “Tumemwangamiza! Kweli, siku ile tuliyoingojea kwa hamu sasa imefika na tumeiona!” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Adui zako wote wanapanua vinywa vyao dhidi yako, wanadhihaki na kusaga meno yao na kusema, “Tumemmeza. Hii ndiyo siku tuliyoingojea, tumeishi na kuiona.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Adui zako wote wanapanua vinywa vyao dhidi yako, wanadhihaki na kusaga meno yao na kusema, “Tumemmeza. Hii ndiyo siku tuliyoingojea, tumeishi na kuiona.” Tazama sura |