Maombolezo 1:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC6 Naye huyo binti Sayuni Enzi yake yote imemwacha; Wakuu wake wamekuwa kama ayala Wasioona malisho; Nao wamekwenda zao hawana nguvu Mbele yake anayewafuatia. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Fahari yote ya watu wa Siyoni imewatoweka; wakuu wake wamekuwa kama kulungu wasio na malisho. Bila nguvu waliwakimbia watesi wao. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Fahari yote ya watu wa Siyoni imewatoweka; wakuu wake wamekuwa kama kulungu wasio na malisho. Bila nguvu waliwakimbia watesi wao. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Fahari yote ya watu wa Siyoni imewatoweka; wakuu wake wamekuwa kama kulungu wasio na malisho. Bila nguvu waliwakimbia watesi wao. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Fahari zilizokuwa zake zimeondoka kutoka kwa Binti Sayuni. Wakuu wake wako kama ayala ambaye hapati malisho, wakiwa dhaifu wamekimbia mbele ya aliyewakimbiza. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Fahari yote imeondoka kutoka kwa Binti Sayuni. Wakuu wake wako kama ayala ambaye hapati malisho, katika udhaifu wamekimbia mbele ya anayewasaka. Tazama sura |