Malaki 3:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC13 Maneno yenu yamekuwa magumu juu yangu, asema BWANA. Lakini ninyi mwasema, Tumesema maneno juu yako kwa namna gani? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Mwenyezi-Mungu asema hivi: “Maneno yenu yamekuwa mzigo kwangu. Hata hivyo mnasema, ‘Tumesema nini dhidi yako?’ Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Mwenyezi-Mungu asema hivi: “Maneno yenu yamekuwa mzigo kwangu. Hata hivyo mnasema, ‘Tumesema nini dhidi yako?’ Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Mwenyezi-Mungu asema hivi: “Maneno yenu yamekuwa mzigo kwangu. Hata hivyo mnasema, ‘Tumesema nini dhidi yako?’ Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 “Mmesema vitu vigumu dhidi yangu,” asema Mwenyezi Mungu. “Hata hivyo mnauliza, ‘Tumesema nini dhidi yako?’ Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 “Mmesema vitu vigumu dhidi yangu,” asema bwana. “Hata hivyo mnauliza, ‘Tumesema nini dhidi yako?’ Tazama sura |