Luka 9:57 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC57 Nao walipokuwa wakienda njiani, mtu mmoja alimwambia, Nitakufuata kokote utakakokwenda. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema57 Walipokuwa wakisafiri njiani, mtu mmoja akamwambia Yesu, “Nitakufuata kokote utakakokwenda.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND57 Walipokuwa wakisafiri njiani, mtu mmoja akamwambia Yesu, “Nitakufuata kokote utakakokwenda.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza57 Walipokuwa wakisafiri njiani, mtu mmoja akamwambia Yesu, “Nitakufuata kokote utakakokwenda.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu57 Walipokuwa njiani wakienda, mtu mmoja akamwambia Isa, “Nitakufuata popote utakakoenda.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu57 Walipokuwa njiani wakienda, mtu mmoja akamwambia Isa, “Nitakufuata kokote uendako.” Tazama sura |