Luka 9:50 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC50 Yesu akamwambia, Msimkataze, kwa kuwa yeye ambaye si kinyume chenu yu upande wenu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema50 Lakini Yesu akamwambia, “Msimkataze; kwani asiyepingana nanyi yuko upande wenu.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND50 Lakini Yesu akamwambia, “Msimkataze; kwani asiyepingana nanyi yuko upande wenu.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza50 Lakini Yesu akamwambia, “Msimkataze; kwani asiyepingana nanyi yuko upande wenu.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu50 Isa akasema, “Msimzuie, kwa sababu yeyote ambaye si kinyume nanyi, yu upande wenu.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu50 Isa akasema, “Msimzuie, kwa sababu yeyote ambaye si kinyume nanyi, yu upande wenu.” Tazama sura |