Luka 9:47 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC47 Naye Yesu alipotambua mawazo ya mioyo yao, alitwaa mtoto mdogo akamweka karibu naye, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema47 Yesu aliyajua mawazo yaliyokuwa mioyoni mwao; basi akamchukua mtoto mdogo akamweka karibu naye, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND47 Yesu aliyajua mawazo yaliyokuwa mioyoni mwao; basi akamchukua mtoto mdogo akamweka karibu naye, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza47 Yesu aliyajua mawazo yaliyokuwa mioyoni mwao; basi akamchukua mtoto mdogo akamweka karibu naye, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu47 Lakini Isa akayatambua mawazo yao, naye akamchukua mtoto mdogo, akamsimamisha kando yake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu47 Lakini Isa akayatambua mawazo yao, naye akamchukua mtoto mdogo, akamsimamisha kando yake. Tazama sura |