Luka 9:35 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC35 Sauti ikatoka katika wingu, ikisema, Huyu ni Mwanangu, mteule wangu, msikieni yeye. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema35 Sauti ikasikika kutoka katika hilo wingu: “Huyu ndiye Mwanangu niliyemchagua, msikilizeni.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND35 Sauti ikasikika kutoka katika hilo wingu: “Huyu ndiye Mwanangu niliyemchagua, msikilizeni.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza35 Sauti ikasikika kutoka katika hilo wingu: “Huyu ndiye Mwanangu niliyemchagua, msikilizeni.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu35 Sauti ikatoka kwenye lile wingu ikisema, “Huyu ni Mwanangu mpendwa, niliyemchagua. Msikieni yeye.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu35 Sauti ikatoka kwenye lile wingu ikisema, “Huyu ni Mwanangu mpendwa, niliyemchagua. Msikieni yeye.” Tazama sura |