Luka 9:29 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC29 Ikawa katika kusali kwake sura ya uso wake ikageuka, mavazi yake yakawa meupe, yakimetameta. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema29 Alipokuwa akisali, sura yake ilibadilika, mavazi yake yakawa meupe na kungaa sana. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND29 Alipokuwa akisali, sura yake ilibadilika, mavazi yake yakawa meupe na kungaa sana. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza29 Alipokuwa akisali, sura yake ilibadilika, mavazi yake yakawa meupe na kung'aa sana. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu29 Alipokuwa akiomba, sura ya uso wake ikabadilika, nayo mavazi yake yakametameta kama miali ya radi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu29 Alipokuwa akiomba, sura ya uso wake ikabadilika, nayo mavazi yake yakametameta kama mwanga wa umeme wa radi. Tazama sura |