Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Luka 9:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

14 Kwa kuwa wanaume waliokuwako walikuwa kama elfu tano. Akawaambia wanafunzi wake, Waketisheni watu kwa safu, kila safu watu hamsini.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

14 (Walikuwapo pale wanaume wapatao 5,000.) Basi, Yesu akawaambia wanafunzi wake, “Waambieni watu waketi katika makundi ya watu hamsinihamsini.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

14 (Walikuwapo pale wanaume wapatao 5,000.) Basi, Yesu akawaambia wanafunzi wake, “Waambieni watu waketi katika makundi ya watu hamsinihamsini.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

14 (Walikuwapo pale wanaume wapatao 5,000.) Basi, Yesu akawaambia wanafunzi wake, “Waambieni watu waketi katika makundi ya watu hamsinihamsini.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

14 (Walikuwepo wanaume wapatao elfu tano.) Isa akawaambia wanafunzi wake, “Waketisheni katika vikundi vya watu hamsini hamsini.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

14 Walikuwako wanaume wapatao 5,000. Isa akawaambia wanafunzi wake, “Waketisheni katika makundi ya watu hamsini hamsini.”

Tazama sura Nakili

Luka 9:14
5 Marejeleo ya Msalaba  

Akawaagiza mkutano waketi chini; akaitwaa ile mikate saba, akashukuru, akaimega, akawapa wanafunzi wake wawaandalie; wakawaandalia mkutano.

Akawaambia, Wapeni ninyi chakula. Wakasema, Hatuna kitu zaidi ya mikate mitano na samaki wawili, tusipokwenda tukawanunulie watu hawa wote vyakula.

Wakafanya hivyo, wakawaketisha wote.

Lakini mambo yote na yatendeke kwa uzuri na kwa utaratibu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo