Luka 8:50 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC50 Lakini Yesu aliposikia hayo, alimjibu, Usiwe na hofu, amini tu, naye ataponywa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema50 Yesu aliposikia hayo akamwambia Yairo, “Usiogope; amini tu, naye atapona.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND50 Yesu aliposikia hayo akamwambia Yairo, “Usiogope; amini tu, naye atapona.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza50 Yesu aliposikia hayo akamwambia Yairo, “Usiogope; amini tu, naye atapona.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu50 Isa aliposikia jambo hili, akamwambia Yairo, “Usiogope. Amini tu, naye binti yako atapona.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu50 Isa aliposikia jambo hili, akamwambia Yairo, “Usiogope. Amini tu, naye binti yako atapona.” Tazama sura |