Luka 8:46 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC46 Yesu akasema, Mtu alinigusa, maana naona ya kuwa nguvu zimenitoka. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema46 Lakini Yesu akasema, “Kuna mtu aliyenigusa, maana nimehisi nguvu imenitoka.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND46 Lakini Yesu akasema, “Kuna mtu aliyenigusa, maana nimehisi nguvu imenitoka.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza46 Lakini Yesu akasema, “Kuna mtu aliyenigusa, maana nimehisi nguvu imenitoka.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu46 Lakini Isa akasema, “Kuna mtu aliyenigusa, kwa maana nimetambua kuwa nguvu zimenitoka.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu46 Lakini Isa akasema, “Kuna mtu aliyenigusa, kwa maana nimetambua kuwa nguvu zimenitoka.” Tazama sura |