Luka 8:30 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC30 Yesu akamwuliza, Jina lako nani? Akasema, Jina langu ni Jeshi; kwa sababu pepo wengi wamemwingia. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema30 Basi, Yesu akamwuliza, “Jina lako nani?” Yeye akajibu, “Jina langu ni ‘Jeshi’” – kwa sababu pepo wengi walikuwa wamempagaa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND30 Basi, Yesu akamwuliza, “Jina lako nani?” Yeye akajibu, “Jina langu ni ‘Jeshi’” – kwa sababu pepo wengi walikuwa wamempagaa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza30 Basi, Yesu akamwuliza, “Jina lako nani?” Yeye akajibu, “Jina langu ni ‘Jeshi’” — kwa sababu pepo wengi walikuwa wamempagaa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu30 Isa akamuuliza, “Jina lako ni nani?” Akamjibu, “Legioni,” kwa kuwa alikuwa ameingiwa na pepo wachafu wengi mno. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu30 Isa akamuuliza, “Jina lako ni nani?” Akamjibu, “Legioni,” kwa kuwa alikuwa ameingiwa na pepo wachafu wengi mno. Tazama sura |