Luka 7:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC4 Nao walipofika kwa Yesu, walimsihi sana wakisema, Amestahili huyu umtendee neno hili; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Walipofika kwa Yesu, walimsihi sana, wakasema: “Huyu anastahili afanyiwe jambo hilo, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Walipofika kwa Yesu, walimsihi sana, wakasema: “Huyu anastahili afanyiwe jambo hilo, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Walipofika kwa Yesu, walimsihi sana, wakasema: “Huyu anastahili afanyiwe jambo hilo, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Wale wazee walipofika kwa Isa, wakamsihi sana amsaidie yule jemadari wakisema, “Mtu huyu anastahili wewe umfanyie jambo hili, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Wale wazee walipofika kwa Isa, wakamsihi sana amsaidie yule jemadari wakisema, “Mtu huyu anastahili wewe umfanyie jambo hili, Tazama sura |