Luka 7:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC19 Ndipo Yohana alipowaita wawili katika wanafunzi wake, akawatuma kwa Yesu akiuliza, Wewe ndiwe yule ajaye, au tumtazamie mwingine? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 aliwatuma kwa Bwana wamwulize: “Wewe ndiye yule anayekuja, au tumngoje mwingine?” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 aliwatuma kwa Bwana wamwulize: “Wewe ndiye yule anayekuja, au tumngoje mwingine?” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 aliwatuma kwa Bwana wamwulize: “Wewe ndiye yule anayekuja, au tumngoje mwingine?” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 na kuwatuma kwa Bwana Isa ili kumuuliza, “Wewe ndiwe yule aliyekuwa aje, au tumngojee mwingine?” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 na kuwatuma kwa Bwana Isa ili kumuuliza, “Wewe ndiye yule aliyekuwa aje, au tumngojee mwingine?” Tazama sura |