Luka 7:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC15 Yule maiti akainuka, akaketi, akaanza kusema. Akampa mama yake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Yule aliyekufa akaketi, akaanza kuongea. Na Yesu akamkabidhi kwa mama yake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Yule aliyekufa akaketi, akaanza kuongea. Na Yesu akamkabidhi kwa mama yake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Yule aliyekufa akaketi, akaanza kuongea. Na Yesu akamkabidhi kwa mama yake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Yule aliyekuwa amekufa akaketi akaanza kuongea, naye Isa akamkabidhi kwa mama yake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Yule aliyekuwa amekufa akaketi akaanza kuongea, naye Isa akamkabidhi kwa mama yake. Tazama sura |