Luka 7:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC10 Na wale waliotumwa waliporudi nyumbani, wakamkuta yule mtumwa ni mzima. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Wale watu walipowasili nyumbani walimkuta yule mtumishi hajambo kabisa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Wale watu walipowasili nyumbani walimkuta yule mtumishi hajambo kabisa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Wale watu walipowasili nyumbani walimkuta yule mtumishi hajambo kabisa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Nao wale watu waliokuwa wametumwa kwa Isa waliporudi nyumbani walimkuta yule mtumishi amepona. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Nao wale watu waliokuwa wametumwa kwa Isa waliporudi nyumbani walimkuta yule mtumishi amepona. Tazama sura |