Luka 7:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC1 Alipokwisha kuyamaliza maneno yake yote masikioni mwa watu, aliingia Kapernaumu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Baada ya kusema yale aliyotaka watu wasikie, Yesu alikwenda Kafarnaumu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Baada ya kusema yale aliyotaka watu wasikie, Yesu alikwenda Kafarnaumu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Baada ya kusema yale aliyotaka watu wasikie, Yesu alikwenda Kafarnaumu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Baada ya Isa kumaliza kusema haya yote kwa watu waliokuwa wanamsikiliza, akaingia Kapernaumu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Baada ya Isa kumaliza kusema haya yote watu wakiwa wanamsikiliza, akaingia Kapernaumu. Tazama sura |