Luka 6:30 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC30 Mpe kila akuombaye, na akunyang'anyaye vitu vyako, usitake akurudishie. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema30 Yeyote anayekuomba mpe, na mtu akikunyanganya mali yako usimtake akurudishie. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND30 Yeyote anayekuomba mpe, na mtu akikunyanganya mali yako usimtake akurudishie. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza30 Yeyote anayekuomba mpe, na mtu akikunyang'anya mali yako usimtake akurudishie. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu30 Mpe kila akuombaye, na kama mtu akichukua mali yako usitake akurudishie. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu30 Mpe kila akuombaye, na kama mtu akichukua mali yako usitake akurudishie. Tazama sura |