Luka 6:20 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC20 Akainua macho yake akawatazama wanafunzi wake, akasema, Heri ninyi mlio maskini, kwa sababu ufalme wa Mungu ni wenu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema20 Yesu akawageukia wanafunzi wake, akasema: “Heri nyinyi mlio maskini, maana ufalme wa Mungu ni wenu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND20 Yesu akawageukia wanafunzi wake, akasema: “Heri nyinyi mlio maskini, maana ufalme wa Mungu ni wenu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza20 Yesu akawageukia wanafunzi wake, akasema: “Heri nyinyi mlio maskini, maana ufalme wa Mungu ni wenu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu20 Akawatazama wanafunzi wake, akasema: “Mmebarikiwa ninyi mlio maskini, kwa sababu ufalme wa Mungu ni wenu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu20 Akawatazama wanafunzi wake, akasema: “Mmebarikiwa ninyi mlio maskini, kwa sababu Ufalme wa Mwenyezi Mungu ni wenu. Tazama sura |