Luka 5:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC9 Maana alishikwa na mshangao, yeye na wote waliokuwa pamoja naye, kwa sababu ya wingi wa samaki waliowapata; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Simoni pamoja na wenzake wote walishangaa kwa kupata samaki wengi vile. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Simoni pamoja na wenzake wote walishangaa kwa kupata samaki wengi vile. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Simoni pamoja na wenzake wote walishangaa kwa kupata samaki wengi vile. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Kwa kuwa yeye na wavuvi wenzake walikuwa wameshangazwa sana na wingi wa samaki waliokuwa wamepata. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Kwa kuwa yeye na wavuvi wenzake walikuwa wameshangazwa sana na wingi wa samaki waliokuwa wamepata. Tazama sura |