Luka 5:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC6 Basi, walipofanya hivyo walipata samaki wengi mno, nyavu zao zikaanza kukatika; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Baada ya kufanya hivyo, wakavua samaki wengi, hata nyavu zao zikaanza kukatika. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Baada ya kufanya hivyo, wakavua samaki wengi, hata nyavu zao zikaanza kukatika. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Baada ya kufanya hivyo, wakavua samaki wengi, hata nyavu zao zikaanza kukatika. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Nao walipozishusha nyavu zao, wakavua samaki wengi sana, nyavu zao zikajaa zikaanza kukatika. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Nao walipozishusha nyavu zao, wakavua samaki wengi sana, nyavu zao zikajaa zikaanza kukatika. Tazama sura |