Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Luka 5:31 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

31 Yesu akajibu akawaambia, Wenye afya hawana haja na tabibu, isipokuwa walio wagonjwa.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

31 Yesu akawajibu, “Wenye afya hawamhitaji daktari; wanaomhitaji ni wale walio wagonjwa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

31 Yesu akawajibu, “Wenye afya hawamhitaji daktari; wanaomhitaji ni wale walio wagonjwa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

31 Yesu akawajibu, “Wenye afya hawamhitaji daktari; wanaomhitaji ni wale walio wagonjwa.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

31 Isa akawajibu, “Wenye afya hawahitaji tabibu, bali walio wagonjwa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

31 Isa akawajibu, “Wenye afya hawahitaji tabibu, bali walio wagonjwa.

Tazama sura Nakili

Luka 5:31
4 Marejeleo ya Msalaba  

Je! Hakuna marhamu katika Gileadi? Huko hakuna tabibu? Mbona, basi, haijarejea afya ya binti ya watu wangu?

Yesu aliposikia aliwaambia, Wenye afya hawahitaji tabibu, bali walio wagonjwa; sikuja kuwaita wenye haki, bali wenye dhambi.

Sikuja kuwaita wenye haki, bali wenye dhambi, wapate kutubu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo