Luka 4:32 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC32 wakashangaa mno kwa mafundisho yake, kwa kuwa neno lake lilikuwa na uwezo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema32 Wakastaajabia uwezo aliokuwa nao katika kufundisha. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND32 Wakastaajabia uwezo aliokuwa nao katika kufundisha. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza32 Wakastaajabia uwezo aliokuwa nao katika kufundisha. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu32 Wakashangazwa sana na mafundisho yake, maana maneno yake yalikuwa na mamlaka. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu32 Wakashangazwa sana na mafundisho yake, maana maneno yake yalikuwa na mamlaka. Tazama sura |