Luka 4:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC15 Naye alikuwa akifundisha katika masinagogi yao, akitukuzwa na watu wote. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Naye akawa anawafundisha watu katika masunagogi yao, akasifiwa na wote. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Naye akawa anawafundisha watu katika masunagogi yao, akasifiwa na wote. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Naye akawa anawafundisha watu katika masunagogi yao, akasifiwa na wote. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Akaanza kufundisha kwenye masinagogi yao, na kila mmoja akamsifu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Akaanza kufundisha kwenye masinagogi yao, na kila mmoja akamsifu. Tazama sura |