Luka 4:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC13 Basi alipomaliza kila jaribu, Ibilisi akamwacha akaenda zake kwa muda. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Ibilisi alipokwisha mjaribu kwa kila njia, akamwacha kwa muda. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Ibilisi alipokwisha mjaribu kwa kila njia, akamwacha kwa muda. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Ibilisi alipokwisha mjaribu kwa kila njia, akamwacha kwa muda. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Ibilisi alipomaliza kila jaribu, akamwacha Isa hadi wakati mwingine ufaao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 Ibilisi alipomaliza kila jaribu, akamwacha Isa mpaka wakati mwingine ufaao. Tazama sura |