Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 4:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

11 na ya kwamba, Mikononi mwao watakuchukua, Usije ukajikwaa mguu wako katika jiwe.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

11 na tena, ‘Watakuchukua mikononi mwao, usije ukajikwaa mguu kwenye jiwe.’”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

11 na tena, ‘Watakuchukua mikononi mwao, usije ukajikwaa mguu kwenye jiwe.’”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

11 na tena, ‘Watakuchukua mikononi mwao, usije ukajikwaa mguu kwenye jiwe.’”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

11 nao watakuchukua mikononi mwao, usije ukajikwaa mguu wako katika jiwe.’”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

11 nao watakuchukua mikononi mwao, usije ukajikwaa mguu wako katika jiwe.’ ”

Tazama sura Nakili




Luka 4:11
3 Marejeleo ya Msalaba  

Kwa kuwa atakuagizia malaika wake Wakulinde katika njia zako zote.


Mikononi mwao watakuchukua, Usije ukajikwaa mguu wako katika jiwe.


akamwambia, Ukiwa ndiwe Mwana wa Mungu, jitupe chini; kwa maana imeandikwa, Atakuagizia malaika zake; Na mikononi mwao watakuchukua; Usije ukajikwaa mguu wako katika jiwe.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo