Luka 3:20 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC20 aliongeza na hili juu ya yote, alimfunga Yohana gerezani. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema20 Kisha Herode akazidisha ubaya wake kwa kumtia Yohane gerezani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND20 Kisha Herode akazidisha ubaya wake kwa kumtia Yohane gerezani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza20 Kisha Herode akazidisha ubaya wake kwa kumtia Yohane gerezani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu20 Herode aliongezea jambo hili kwa hayo mengine yote: alimfunga Yahya gerezani. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu20 Herode aliongezea jambo hili kwa hayo mengine yote: alimfunga Yahya gerezani. Tazama sura |