Luka 3:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC12 Watoza ushuru nao wakaja kubatizwa, wakamwuliza, Mwalimu, tufanye nini sisi? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Nao watozaushuru wakaja pia ili wabatizwe, wakamwuliza, “Mwalimu, tufanye nini?” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Nao watozaushuru wakaja pia ili wabatizwe, wakamwuliza, “Mwalimu, tufanye nini?” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Nao watozaushuru wakaja pia ili wabatizwe, wakamwuliza, “Mwalimu, tufanye nini?” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Watoza ushuru nao wakaja ili wabatizwe, wakamuuliza, “Mwalimu na sisi inatupasa tufanyeje?” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Watoza ushuru nao wakaja ili wabatizwe, wakamuuliza, “Bwana, na sisi inatupasa tufanyeje?” Tazama sura |