Luka 24:50 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC50 Akawaongoza mpaka Bethania, akainua mikono yake akawabariki. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema50 Kisha akawaongoza nje ya mji hadi Bethania, akainua mikono yake juu, akawabariki. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND50 Kisha akawaongoza nje ya mji hadi Bethania, akainua mikono yake juu, akawabariki. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza50 Kisha akawaongoza nje ya mji hadi Bethania, akainua mikono yake juu, akawabariki. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu50 Baada ya kuwaongoza hadi Bethania, akainua mikono yake juu na kuwabariki. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu50 Akiisha kuwaongoza mpaka kwenye viunga vya Bethania, akainua mikono yake juu na kuwabariki. Tazama sura |