Luka 24:30 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC30 Ikawa alipokuwa ameketi nao chakulani, alitwaa mkate, akaubariki, akaumega, akawapa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema30 Alipoketi kula chakula pamoja nao, akachukua mkate, akaubariki, akaumega, akawapa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND30 Alipoketi kula chakula pamoja nao, akachukua mkate, akaubariki, akaumega, akawapa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza30 Alipoketi kula chakula pamoja nao, akachukua mkate, akaubariki, akaumega, akawapa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu30 Alipokuwa mezani pamoja nao, akachukua mkate, akashukuru, akaumega, akaanza kuwagawia. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu30 Alipokuwa mezani pamoja nao, akachukua mkate, akashukuru, akaumega, akaanza kuwagawia. Tazama sura |