Luka 24:28 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC28 Wakakikaribia kile kijiji walichokuwa wakienda, naye alifanya kama anataka kuendelea mbele. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema28 Walipokikaribia kile kijiji walichokuwa wanakiendea, Yesu akafanya kana kwamba anaendelea na safari; Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND28 Walipokikaribia kile kijiji walichokuwa wanakiendea, Yesu akafanya kana kwamba anaendelea na safari; Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza28 Walipokikaribia kile kijiji walichokuwa wanakiendea, Yesu akafanya kana kwamba anaendelea na safari; Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu28 Nao walipokaribia kile kijiji walichokuwa wakienda, Isa akawa kama anaendelea mbele. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu28 Nao walipokaribia kile kijiji walichokuwa wakienda, Isa akawa kama anaendelea mbele. Tazama sura |