Luka 24:23 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC23 wasiuone mwili wake; wakaja wakasema ya kwamba wametokewa na malaika waliosema kwamba yu hai. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema23 wasiukute mwili wake. Wakarudi wakasema kwamba walitokewa na malaika waliowaambia kwamba alikuwa hai. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND23 wasiukute mwili wake. Wakarudi wakasema kwamba walitokewa na malaika waliowaambia kwamba alikuwa hai. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza23 wasiukute mwili wake. Wakarudi wakasema kwamba walitokewa na malaika waliowaambia kwamba alikuwa hai. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu23 lakini hawakuukuta mwili wake. Walirudi wakasema wameona maono ya malaika ambao waliwaambia kwamba Isa yu hai. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu23 lakini hawakuukuta mwili wake. Walirudi wakasema wameona maono ya malaika ambao waliwaambia kwamba Isa yu hai. Tazama sura |