Luka 23:43 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC43 Yesu akamwambia, Amin, nakuambia, leo hivi utakuwa pamoja nami peponi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema43 Yesu akamjibu, “Nakuambia kwa hakika, leo utakuwa pamoja nami peponi.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND43 Yesu akamjibu, “Nakuambia kwa hakika, leo utakuwa pamoja nami peponi.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza43 Yesu akamjibu, “Nakuambia kwa hakika, leo utakuwa pamoja nami peponi.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu43 Isa akamjibu, “Amin, nakuambia, leo utakuwa pamoja nami Paradiso.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu43 Isa akamjibu, “Amin, nakuambia, leo hii utakuwa pamoja nami Paradiso.” Tazama sura |