Luka 23:42 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC42 Kisha akasema, Ee Yesu, nikumbuke utakapoingia katika ufalme wako. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema42 Kisha akasema, “Ee Yesu! Unikumbuke wakati utakapoingia katika ufalme wako.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND42 Kisha akasema, “Ee Yesu! Unikumbuke wakati utakapoingia katika ufalme wako.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza42 Kisha akasema, “Ee Yesu! Unikumbuke wakati utakapoingia katika ufalme wako.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu42 Kisha akasema, “Isa, unikumbuke utakapokuja katika ufalme wako.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu42 Kisha akasema, “Isa, unikumbuke utakapokuja katika Ufalme wako.” Tazama sura |