Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 23:30 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

30 Ndipo watakapoanza kuiambia milima, Tuangukieni, na vilima, Tufunikeni.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

30 Wakati huo, ndipo watu wataanza kuiambia milima: ‘Tuangukieni!’ Na vilima, ‘Tufunikeni!’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

30 Wakati huo, ndipo watu wataanza kuiambia milima: ‘Tuangukieni!’ Na vilima, ‘Tufunikeni!’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

30 Wakati huo, ndipo watu wataanza kuiambia milima: ‘Tuangukieni!’ na vilima, ‘Tufunikeni!’

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

30 Ndipo “ ‘wataiambia milima, “Tuangukieni!” na vilima, “Tufunikeni!” ’

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

30 Ndipo “ ‘wataiambia milima, “Tuangukieni!” na vilima, “Tufunikeni!” ’

Tazama sura Nakili




Luka 23:30
6 Marejeleo ya Msalaba  

Na watu wataingia ndani ya pango za majabali, na ndani ya mashimo ya nchi, mbele za utisho wa BWANA na utukufu wa enzi yake, atakapoondoka ili aitetemeshe mno dunia.


Siku hiyo kila mtu atazitupilia mbali sanamu zake za fedha, na sanamu zake za dhahabu, walizojitengenezea ili kuziabudu, kwa fuko na popo;


Mahali pa Aveni palipoinuka, yaani, dhambi ya Israeli, pataharibika; mwiba na mbigili itamea juu ya madhabahu zake; nao wataiambia milima, Tusitirini; na vilima, Tuangukieni.


Kwa kuwa kama wakitenda mambo haya katika mti mbichi, itakuwaje katika mkavu?


wakiiambia milima na miamba, Tuangukieni, tusitirini, mbele za uso wake yeye aketiye juu ya kiti cha enzi, na kwenye hasira ya Mwana-kondoo.


Na siku zile wanadamu watatafuta mauti, wala hawataiona kamwe. Nao watatamani kufa, nayo mauti itawakimbia.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo