Luka 23:27 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC27 Mkutano mkubwa wa watu wakamfuata, na wanawake waliokuwa wakijipiga vifua na kumwombolezea. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema27 Watu, umati kwa umati, walimfuata; miongoni mwao wakiwemo wanawake waliokuwa wanaomboleza na kumlilia. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND27 Watu, umati kwa umati, walimfuata; miongoni mwao wakiwemo wanawake waliokuwa wanaomboleza na kumlilia. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza27 Watu, umati kwa umati, walimfuata; miongoni mwao wakiwemo wanawake waliokuwa wanaomboleza na kumlilia. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu27 Idadi kubwa ya watu wakamfuata Isa, wakiwamo wanawake waliokuwa wakimlilia na kumwombolezea. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu27 Idadi kubwa ya watu wakamfuata Isa, wakiwamo wanawake waliokuwa wakimlilia na kumwombolezea. Tazama sura |