Luka 22:67 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC67 Kama wewe ndiwe Kristo, tuambie. Akawaambia, Nikiwaambia, hamtasadikia. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema67 Nao wakamwambia, “Tuambie! Je, wewe ndiwe Kristo?” Lakini Yesu akawaambia, “Hata kama nikiwaambieni, hamtasadiki; Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND67 Nao wakamwambia, “Tuambie! Je, wewe ndiwe Kristo?” Lakini Yesu akawaambia, “Hata kama nikiwaambieni, hamtasadiki; Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza67 Nao wakamwambia, “Tuambie! Je, wewe ndiwe Kristo?” Lakini Yesu akawaambia, “Hata kama nikiwaambieni, hamtasadiki; Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu67 Wakamwambia, “Kama wewe ndiwe Al-Masihi, tuambie.” Isa akawajibu, “Hata nikiwaambia, hamtaamini. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu67 Wakamwambia, “Kama wewe ndiwe Al-Masihi, tuambie.” Isa akawajibu, “Hata nikiwaambia hamtaamini. Tazama sura |