Luka 22:64 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC64 Wakamfunika macho, kisha wakamwulizauliza wakisema, Tabiri, ni nani aliyekupiga? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema64 Walimfunga kitambaa usoni, wakawa wanamwuliza, “Ni nani aliyekupiga? Hebu bashiri, tuone!” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND64 Walimfunga kitambaa usoni, wakawa wanamwuliza, “Ni nani aliyekupiga? Hebu bashiri, tuone!” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza64 Walimfunga kitambaa usoni, wakawa wanamwuliza, “Ni nani aliyekupiga? Hebu bashiri, tuone!” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu64 Wakamfunga kitambaa machoni na kumuuliza, “Tabiri! Tuambie ni nani aliyekupiga?” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu64 Wakamfunga kitambaa machoni na kumuuliza, “Tabiri! Tuambie ni nani aliyekupiga?” Tazama sura |