Luka 22:48 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC48 Yesu akamwambia, Yuda, wamsaliti Mwana wa Adamu kwa kumbusu? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema48 Lakini Yesu akamwambia, “Yuda! Je, unamsaliti Mwana wa Mtu kwa kumbusu?” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND48 Lakini Yesu akamwambia, “Yuda! Je, unamsaliti Mwana wa Mtu kwa kumbusu?” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza48 Lakini Yesu akamwambia, “Yuda! Je, unamsaliti Mwana wa Mtu kwa kumbusu?” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu48 Lakini Isa akamwambia, “Yuda, je, unamsaliti Mwana wa Adamu kwa busu?” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu48 Lakini Isa akamwambia, “Yuda, je, unamsaliti Mwana wa Adamu kwa busu?” Tazama sura |