Luka 22:46 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC46 Akawaambia, Mbona mmelala usingizi? Ondokeni, mkaombe, msije mkaingia majaribuni. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema46 Akawaambia, “Mbona mnalala? Amkeni msali, msije mkaingia katika kishawishi.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND46 Akawaambia, “Mbona mnalala? Amkeni msali, msije mkaingia katika kishawishi.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza46 Akawaambia, “Mbona mnalala? Amkeni msali, msije mkaingia katika kishawishi.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu46 Naye akawauliza, “Mbona mmelala? Amkeni, mwombe ili msije mkaingia majaribuni.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu46 Naye akawauliza, “Mbona mmelala? Amkeni, mwombe ili msije mkaingia majaribuni.” Tazama sura |