Luka 22:21 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC21 Lakini, tazama, mkono wake yeye anayenisaliti upo hapa pamoja nami mezani, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema21 “Lakini, tazameni! Yule atakayenisaliti yuko nami hapa mezani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND21 “Lakini, tazameni! Yule atakayenisaliti yuko nami hapa mezani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza21 “Lakini, tazameni! Yule atakayenisaliti yuko nami hapa mezani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu21 Lakini mkono wake huyo atakayenisaliti uko hapa mezani pamoja nami. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu21 Lakini mkono wake huyo atakayenisaliti uko hapa mezani pamoja nami. Tazama sura |