Luka 22:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC2 Na wakuu wa makuhani na waandishi walikuwa wakitafuta njia ya kumwua; maana walikuwa wakiwaogopa watu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Makuhani wakuu na waalimu wa sheria wakawa wanatafuta njia ya kumwua Yesu, lakini waliwaogopa watu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Makuhani wakuu na waalimu wa sheria wakawa wanatafuta njia ya kumwua Yesu, lakini waliwaogopa watu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Makuhani wakuu na waalimu wa sheria wakawa wanatafuta njia ya kumwua Yesu, lakini waliwaogopa watu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Viongozi wa makuhani na walimu wa Torati walikuwa wanatafuta njia ya kumuua Isa, kwa sababu waliwaogopa watu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Viongozi wa makuhani na walimu wa Torati walikuwa wanatafuta njia ya kumuua Isa, kwa sababu waliwaogopa watu. Tazama sura |