Luka 21:38 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC38 Na watu wote walikuwa wakiamka mapema waende hekaluni ili kumsikiliza. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema38 Watu wote walikuwa wanakwenda hekaluni asubuhi na mapema, wapate kumsikiliza. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND38 Watu wote walikuwa wanakwenda hekaluni asubuhi na mapema, wapate kumsikiliza. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza38 Watu wote walikuwa wanakwenda hekaluni asubuhi na mapema, wapate kumsikiliza. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu38 Nao watu wote walikuja asubuhi na mapema Hekaluni ili kumsikiliza. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu38 Nao watu wote walikuja asubuhi na mapema Hekaluni ili kumsikiliza. Tazama sura |